DOWNLOAD BONGO MUZIK FOR PROMOTION ONLY
Tuesday, August 31, 2010
Monday, August 30, 2010
HAPPY BIRTHDAY TO YOU(FATMA HASSAN)31-08-2010
I DO RESPECT THIS NAME COZ NI COMPLETE NAME YA MY MAMA,SO YOUR SON IS WISHING YOU A HAPPY LUVELY BIRTHDAY...PPPUUUFFF,OLE WAKO NIKOSE JAPO KIPANDE CHA CAKE PATAKUWA HAPATOSHI>>>
EYOOO "NGASTUKA..MACHALE KU...."JAMBO SQUAD
JAMBO SQUAD
STAY TUNED KWA MORE DETAILS…PPPUUUFFF>>>
DOWNLOAD NGASTUKA MP3 FOR RADIO PROMO ONLY
G-RECORDS YAMPIGA CHINI ALIKIBA....
ALIKIBA and his former manager GURU
Ile ndoa ya kikazi baina ya msanii ALIKIBA na Kampuni ya G-RECORDZ imefikia tamati rasmi leo 30-08-2010,akiongea na ujazo kwa njia ya simu…CEO wa kampuni hiyo GURU RAMDHAN amesema wamefikia tamati baada ya kukaa na kuzungumzia mambo mbali mbali baina ya kampuni na ALIKIBA.ujazo entertainments haikusita kumsaka GURU RAMADHANI na haya ndio yalio jiri ktk maongezi…
DEE7:-“hello Guru…mambo niaje mwana”?
GURU:-“mambo poa kaka,issue niaje”?
DEE7:-issue poa sana swaumu kama kawa,”ebana kuna habari juu ya G-RECORDZ kusitisha usimamizi wa shughuli za muziki kwa msanii ALIKIBA,vp kuna ukweli wowote”?
GURU:-“Kaka rasmi nakuarifu kwamba kuanzia sasa alikiba hayupo chini ya uongozi wangu ktk lebo ya G-RECORDZ, ALIKIBA ameomba kwetu ajitegemee kimuziki, so maswala yote ya promotion kwa kazi zake na shows atakuwa anadeal mwenyewe, kwa sasa G-RECORD itabaki kudeal na albums zake mbili(CINDERELA na ALI K 4 REAL) zaidi ya hapo hatuhusiki kaka”...
DEE7:-“duuuuh!!!,poa kaka nimekusoma,lakini vp mbali na alikiba kuna msanii mwingine aliye chini ya usimamizi wa kampuni yako”?
GURU:-“yeah….wapo mwana wapo kibao karibu wote unao wajua including PASHA,SHO DADDY,PICCO na wengine kibao tu…”
DEE7:-“shukran kaka kwa time yako…one luv”
GURU:-“nashukuru sana mchana mwema….”Sunday, August 29, 2010
2010-MWAKA WA HIP HOP....MWANZO WA TONGWE RECORDS
TONGWE RECORDS
2010 KWANGU MIMI NAUCHUKULIA KAMA NI MWAKA WA MUZIKI WA RAP NDANI YA HIP HOP KUTAMBA NA KUFANYA VEMA ZAIDI,NIMEKAA NIKIANGALIA JINSI MZUNGUUKO WA GAME HILI LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA ULIVYO NA UNAVYOKWENDA,NIMEGUNDUA KWAMBA MOST OF THOSE PRODUCERS WALIOKUWA WAKITEGEMEWA KWA KUNYONGA BEATZ ZA UJAZO WA KWELI KTK HIP HOP WAMESTOP AU WAMEBADILI MUELEKEO NA KUJALI ZAIDI STYLE ZA KUIMBA JAPOKUWA WAPO WACHACHE WALIO JARIBU KUKAZA,TALKING OF THAT SITOWEZA KUMSAHAU PRODUCER DX WA NOIZ MEKKAH
PRODUCER DX OF NOIZ MEKKAH
ARUSHA KWA MOYO MKUNJUFU JAMAA AMEJITAHIDI KUKAZA KTK PRODUCTION YA HIP HOP MUZIK JAPOKUWA SIO MKONGWE KIVIIIIILE,KILICHONIFANYA NIONGELEE HILI JAPO KWA UFUPI NI UJIO WA PRODUCER “JEREMY J-RYDER KYEJO”
WA TONGWE RECORDS,HEBU JARIBU KUANGALIA PICHA HIZO ZINAZO WAKILISHA SINGLES ALIZO PRODUCE JUST KWA MWAKA HUU,UTAKUBALIANA NAMI,UJAZO INAFANYA MPANGO WA KUONGEA NAE NA SOON TUTAKUSHUSHIA INTERVIEW YOOOOOOTE…..PPPUUUFFF>>>
Saturday, August 28, 2010
DPT(DIPLOMATICZ)
DO U GUYS KNOW WHERE ARE THESE DUDEZ@?,ZAWADI YA $ 20,000 TO BE ISSUED KWA ATAKAE TOA FULL INFORMATION JUU YAO…PPPUUUFF>>>
PART 2-EAST AFRICAN TRADE FAIR MWANZA 2010
WAY INN...
DAMN THEY TOLD ME TO GIVE IT A TRY,NIKALALA HAPO...DUUUH
VINYWAJI BARIDI NDUGU HAWA COCA COLA NA PEPSI WANAHUSIKA
"KATA MTI PANDA MITI"
"CHAPA MAJI KAMA MAMBA"
TBL PAVILION
THANK GOD @LEAST WE GOT SOMEWHERE TO GO FOR A SUPER HEAVYWEIGHT SHOPING….JAMANI KAMA BADO HUJAIBUKA KTK HAYA MAONYESHO FANYA FASTA COZ YANAISHA TAREHE 5-09-2010
TO BE CONTINUED>>>>
Subscribe to:
Posts (Atom)






















