Tuesday, June 14, 2011

LINAH&BARNABA KUKIWASHA GOLD CREST HOTEL ON MISS MWANZA 2011

Homa ya ushindani iko 95 centigrade kwa washiriki wakati maandalizi yameshakamilika kwa 95%...kipute chataraiwa kuwa na mvutano wa aina yake hasa kwa namna ambavyo warembo walivyopania kila mmmoja akiamini yeye ndiye atakae kuwa MISS MWANZA 2011,akiongea na www.ujazo.com muandaaji wa shindano hili MR.JOHN DOTTO CEO wa SISI ENTERTAINMENTS amesema shughuli ni nzito kwa maana ya ushindani utakuwa mkubwa sana ndomana akaona kwakuwatupia LINAH,BARNABA, SAJNA,C-SIR MADINI jukumu la kuwapa burudani mashabiki ambao anaamini watakuwa viroho juu kila mmoa akitaka kuona mshiriki anayempenda akifanya vema kutafanikisha vema shindano...sioni sababu yaw ewe kutokuhudhuria issue hii…

                MISS MWANZA
DATE:-24-06-2011
WAPI?:-GOLD CRREST HOTEL MWANZA
KIINGILIO:-20,000 V.I.P na 10,000 seat za kawaida
PICHA ZOTE ZA WASHIRIKI NI KWA MSAADA WA http://thebigtopten.blogspot.com/ 


0 comments:

Post a Comment

DEE BᵘᵐZ®

Template by:
Free Blog Templates