Anaitwa Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine tena amedondosha dude jipya 4 SHO 4 SHIZZY akimshirikisha ULOPA ambaye ndiye producer wa dude hii kupitia studio ya SAMAWATI nchini Kenya…Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv all over Africa…
Sunday, October 16, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
DEE BᵘᵐZ®